Mwaka jana tulileta taarifa toka mtandao wa
goal waliotoa orodha ya washambuliaji bora 1,000 Duniani katika orodha
hiyo John Bocco alikuwa mshambuliaji pekee wa Afrika Mashariki.
Leo kuna nyingine toka mtandao wa football database inayoonesha
Azam FC ndiyo klabu bora nchini ikifuatiwa na Simba SC, hakuna timu
nyingine toka Tanzania iliyoingia kwenye chati hii zaidi ya Simba SC na
Azam FC inayoongoza
Fungua link hiii utafahamu kwa undani na utaziona pia timu nyinginezo zilizopo katika orodha hiyo
http://footballdatabase.com/ranking/africa/7
http://footballdatabase.com/ranking/africa/7
0 comments:
Chapisha Maoni