Jumatano, Julai 02, 2014

KUHUSU BASI LA WAFUNGWA LILILOSHAMBULIWA KWA RISASI DAR ES SALAAM

Hili ndilo Basi lililokuwa limebeba wafungwa ambalo lilishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Mayfair Mikocheni, jijini Dar es Salaam jana.
Basi hilo lilikuwa likitokea mahakama ya Mwanzo Kawe ndipo lilishambuliwa kwa risasi zilizomjeruhi kidogo Dereva wa basi hilo. Taarifa zinadai hakuna mfungwa aliyetoroka na majeruhi ni yale tu yaliyosababishwa na kuvunjika kwa vioo vya basi hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni