Kwa mfano umemuita dem wako geto, akaja lakn akakwambia hajisikii vzur,
kwakua ww unampenda na unamwamin, unaamua kuchukulia poa. Dem anaamua
kuaga ili akapumzke nyumban kwao, ww kiroho saf unamluhusu aondoke, ile
anafka kwao anakwambia Baby mi nmefka napumzka saiv, tutaongea badae. Ww
ukajibu poa. Ile anakata cm namba yake ikawa haipatkan tena. Ww
ukachukulia poa 2. Kwakua ww n fund wa umeme wa majumban, unapigiwa cm
na jamaa mmoja mwenye gest anakuomba
ukamtengenezee taa ktk gest yake il wateja wake wasilale gizan, ww
ukachukua vifaa vya ufund il ukapige kaz, wakat unaendelea na kaz,
unasikia saut ya dem wako ktk chumba kimoja, ukaamua kupotezea, umepiga
kaz mpaka ukamalza, ile unamalza tu, unamchek jamaa ako anatoka ktk kile
chumba na dem wako, tena dem kavaa nguo tofaut na zile alzokuja amevaa
kwako. Jamaa hajui kama yule n dem wako lakn dem anajua kama yule n
jamaa ako wa kitambo. Kama ndo ww fund umeme utafanya nn hapo.




0 comments:
Chapisha Maoni