• Kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi. Hali hii pia yaweza kuendana na kubeua au kujamba mara kwa mara.
• Kucheua na kuongezeka kwa mate yanayoshuka tumboni baada ya kucheua.
• Kichefuchefu na kutapika
• Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
• Kutapika damu
• Kupata haja kubwa cha rangi nyeusi au kahawia chenye harufu mbaya sana. Hii humaanisha mgonjwa anapata haja kubwa au choo kilichochanganyika na damu kwa mbali
Uwepo wa dalili kama kiungulia cha muda mrefu, kucheua na kutapika baada ya kula na historia ya kutumia dawa za kupunguza maumivu (NSAIDs) kwa muda muda mrefu.

0 comments:
Chapisha Maoni