Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC imetoa tamko na kusema kuwa uchaguzi wa klabu hiyo utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu. Kamati hiyo pia imesema imemuondoa Michael Richard Wambura kwenye mchakato wa kugombea uchaguzi huo.
0 comments:
Chapisha Maoni