Jumatano, Juni 25, 2014

UKWELI WA HABARI ZILIZOSAMBAA KUHUSU KIFO CHA WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA

Hii ni juu ya zile taarifa za kifo cha waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa SI ZA UKWELI na chanzo kikuu cha habari hizo zilizoenea ilikuwa ni facebook fan page ya NACTE. Wao pia wamethibitisha kuwa vyanzo vyao havikuwa makini na vilipotosha juu ya habari hizo.
Habari hii ya kifo tulipewa na ndugu watatu ambao ni https://www.facebook.com/deus.nyongole na mwengine ni https://www.facebook.com/marco.wawa na watatu wao ni https://www.facebook.com/france.ignas tunasikitika kuwambia ya kwamba habari hiyo ilikuwa ya uongo na wahusika wanatiwa mbaroni kwa usaili zaidi.
Taarifa za awali ziliandikwa hivi:
Post by Necta.
Baada ya muda wakathibitisha kuwa taarifa hizo hazikuwa za kweli, hii hapa post yao:
Post by Necta.

0 comments:

Chapisha Maoni