Jumatano, Juni 11, 2014

SLIM AFUNGUKA KUHUSU MAPENZI YA SIRI KATI YAKE NA BATULI

Msanii wa filamu anayekuja kwa kasi sana katika kiwanda filamu Tzee Slim Omary ambaye wiki kadhaa kulikuwa na habari kuwa ana mahusiano na Msanii mwezake Batuli. Slimu azungumzia suala hilo na kusema
Unajua ukaribu una mambo mengi ikiwemo uswaiba, nataka wajue kuwa Batuli ni msanii mwenzangu na tunashirikiana kwa ukaribu sana katika kazi kadhaa ambazo nimeshirikiana nae.Naomba wasiwe wanaandika vitu wasivyo na uhakika navyo mimi nina familia namaanisha mke sasa mambo kama haya yanafanya maelewano yanakuwa hakuna.
Nampenda mke wangu na namuheshimu hivyo Batuli ni msanii mwenzangu na ni dada yangu ananiheshimu na mimi namuheshi hakuna zaidi ya hapo.

0 comments:

Chapisha Maoni