Baraza la waislamu nchini Rwanda limesimamisha
shughuli za burudani za akina mama katika kumbi maalum wanapokutana
kucheza na kutoa michango ya hali na mali kwa ajili ya vijana
wanaojiandaa kufunga ndoa.
Viongozi hao wanasema akina mama wa kiislam
wanakiuka sheria za dini kwa kucheza muziki wa taarabu kwa mbwembwe na
mitindo isiyofaa.
0 comments:
Chapisha Maoni