Jumapili, Juni 08, 2014

PICHA TOFAUTI KATIKA SHINDANO LA REDDS MISS MBEYA 2014

Kama ulimiss picha za kinyang'anyiro cha Miss Mbeya June 6 ambapo Atukuzwe Fabian aliibuka kuwa mshindi Redds Miss Mbeya 2014 na washindi wengine Anitha Patrick msindi wa pili na Huku Matrida Hilu akiwa msindi wa tatu, katika shindano hilo lililofanyika  City Pub jijini Mbeya ambapo Waratibu na waandaaji ni Bomba FM Radio kupitia BOMBA ENTERTAINMENT. Picha zote kwa hisani ya Green Photo Lab

0 comments:

Chapisha Maoni