Katika hali isiyo ya kawaida mkoani Arusha kijana mmoja ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro jioni ya leo. Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.
Ridhiwani aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita |
Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12. |
Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo. |
0 comments:
Chapisha Maoni