STAA wa muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, amefunguka
kuwa amekuwa akikabwa usiku kishirikina na msichana wake wa kazi
aliyemtoa mkoani Mtwara.Akielezea tukio hilo, Bela alisema mara baada ya
kumleta mjini binti huyo, alikuwa akimtokea mara kwa mara ndotoni
akitaka kumyonga na alipomuuliza alikiri kuwa yeye amerithishwa mikoba
ya kichawi na bibi yake.
Daah! Ilikuwa kivumbi mwenzangu ndani hakukaliki, nimeamua kumrudisha kwao Mtwara maana nilikuwa silali vizuri
alisema Bela.
0 comments:
Chapisha Maoni