Ijumaa, Juni 06, 2014

INAWEZEKANA CHELSEA IKAWA HIVI MSIMU UJAO

Kuna uwezekano mkubwa sana Chelsea ya msimu 2014-15 ikawa hivi(Angalia picha) kufuatia usajili unaopewa uzito sana kutokea wa Fabregas na Costa. Nadhani mashabiki wa Arsenal wanaombea kijana wao asijiunge na Chelsea.
Bila ushabiki: Fabregas anarudi Premier league: Ungependa ajiunge timu gani inayomfaa zaidi???

0 comments:

Chapisha Maoni