Jumatatu, Juni 09, 2014

HIVI TONTO DIKEH USTAA HAUKAMILIKI BILA PICHA ZA UTUPU?

Nyota wa filamu kutoka Nollywood,Tonto dikeh masaa machache yaliyopita aliupload picha chafu akionyesha sehemu za siri kupitia mtandao wa kijamii, Instagram na baadaye kuiondoa baada ya kupata maoni mabaya kutoka kwa mashabiki wake kuwa aache ushetani wa Maheeda ambaye awali alikuwa akifanya muziki wa injili kabla ya kukengeuna na kuanza kupiga picha za utupu. Nimelazimika kuikata picha hii kwaajili ya maadili.

0 comments:

Chapisha Maoni