Ijumaa, Juni 13, 2014

GELLY WA RYMES AKANA UVUMI KUWA YEYE NI PLAY BOY

Msanii wa R&B tzee anayetamba na ngoma yake ya ‘Elewa’ George aka Gerry Wa Rhymes amesema kutoka na uvumi ulioenea mtaani kuwa yeye ni play boy hapa anafunguka.
Mimi sio Play Boy jamani mbona watu wananizushia hivyo, napenda watu wajue kama mimi ni mtu wakawaida na sio Play Boy kama wanavyofanya wengine mimi ni kijana wa kawaida sana na real Watoto wakike ndiyo Mashabiki wangu wakubwa sana so Watu wasinifikilie vibaya jamani Mimi nipo Njia Kuu Naepuka Michepuko
alisema Gerry Wa Rhymes

0 comments:

Chapisha Maoni