Uchunguzi uliofanywa na serikali kwa kushirikiana na viongozi wa
wafanyabiashara wa soko la Mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar
es Salaam umebaini kuwa moto ulioteketeza soko hilo ulisababishwa na
uunganishwaji holela wa umeme katika vibanda vilivyo ndani ya soko
hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni