Jumamosi, Juni 07, 2014

FIFA 2014 BRAZIL...5 DAYS LEFT: KITU USICHOKIJUA KUHUSIANA NA FAINALI ZA MWAKA HUU

Brazil ni nchi ya tano duniani kuandaa Kombe la Dunia kwa mara ya pili -- baada ya miaka 64. Brazil iliandaa michuano ya nne ya Kombe la Dunia mwaka 1950. Uwanja wa MaracanĂ£ Rio de Janeiro ulijengwa mahsusi kwa ajili ya michuano hiyo, na utatumika pia mwaka huu.
Nchi nyingine ambazo zimeandaa Kombe la Dunia mara mbili ni: Mexico (1970, 1982), Italy (1934, 1990), Ufaransa (1938, 1998), na Ujerumani (1974, 2006).

0 comments:

Chapisha Maoni