Mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Frola Mbasha, bw. Emmanuel Mbashaanayekabiliwa kwa kesi ya ubakaji, ameachiwa kwa dhamana na kesi
itatajwa tena julai 17 mwaka huu.
Emmanuel Mbasha amefikishwa leo mahakama ya Ilala na kupatiwa dhamana hiyo baada ya kutimiza masharti yaliyohitajika.
Bwana Emmanuel Mbasha alifikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kuwa shemeji yake.
0 comments:
Chapisha Maoni