Mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya
kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya
kuthibitika kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi
za kombe la dunia.
Pamoja na kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na
kuwa hiyo ni kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu
hiyo kali ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea
ambao wanaamini kaonewa.
0 comments:
Chapisha Maoni