Ijumaa, Mei 16, 2014

WANNE WAMEFARIKI KATIKA MLIPUKO NCHINI KENYA

WATU wanne wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya. Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la abiria 'matatu' wakati wa pili ukitokea katika soko la Gikomba.

0 comments:

Chapisha Maoni