Jumapili, Mei 25, 2014

TUNDU LISSU AWALIPUA CCM, KWA HILI SIDHANI KAMA WATAWEZA KUJITETEA!!!

Nanukuu sehemu ya alichokisema Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa facebook: Kwenye mikutano yenu, tunataka kusikia majibu ya sababu zilizopelekea Kuuawa kwa waasisi wa Muungano wetu zaidi ya watano akina Abdulaziz Twala, na hatimaye kuzikwa kwenye handaki moja huko Zanzibar?. Tunataka kusikia majibu kwamba ni Kwa nini Zanzibar ni Nchi kamili Kikatiba, na kama mtakiri kwamba Zanzibar ni Nchi, Tanganyika Iko wapi?. Endelea kusoma katika post yake hapo chini>>>

0 comments:

Chapisha Maoni