Jumapili, Mei 25, 2014

STEVEN GERRARD KUSTAAFU SOKA BAADA YA KOMBE LA DUNIA

Nahodha wa timu ya Taifa ya England, Steven Gerrard amesema atastaafu kuichezea nchi hiyo baada ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza mwezi ujao nchini Brazil. Gerrard mwenye umri wa miaka 33 pia ni nahodha wa timu ya Liverpool inayoshiriki Ligi Kuu ya England.

0 comments:

Chapisha Maoni