Jumatano, Mei 14, 2014

NGULI WA FILAMU BONGO 'JB' KATIKA MATESO

Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi, angechepuka.
JB alisema licha ya umri wake mkubwa katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti.

Kusema ukweli majungu ni mengi kiasi ambacho kungekuwa na mbadala wa kazi ningefanya ili niwaache na majungu yao ya kila kukicha
alisema JB.

0 comments:

Chapisha Maoni