![]() |
| Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana. |
![]() |
| Dude(kulia), Johari, (katikati) na msanii mwingine wakiwa nje ya mochwari, Muhimbili wakisubiri mwili wa marehemu Adam Kuambiana kutolewa na kusafirishwa kwenda Bunju, Dar leo mchana. |
![]() |
| Waombolezaji wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar. |







0 comments:
Chapisha Maoni