Alhamisi, Mei 15, 2014

MWANAMUZIKI WA ZAMANI WA BENDI YA 'TAMTAM' NA MNENGUAJI MAARUFU AMINA NGALUMA AMEFARIKI DUNIA AKIWA THAILAND

MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Chapisha Maoni