Alhamisi, Mei 15, 2014

MELI YA KWANZA DUNIANI ILITENGENEZWA TAREHE KAMA YA LEO MIAKA 238 ILIYOPITA

Tarehe 15 Mei miaka 238 iliyopita kama leo, ilitengenezwa meli ya kwanza yenye kutumia mvuke. Meli inayotumia nishati ya mvuke ilitengenezwa miaka 70 baada ya kuvumbuliwa nishati ya mvuke na mhandisi wa Kifaransa Denis Papin. Utumiaji wa nishati ya mvuke katika meli ulileta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri wa baharini.

0 comments:

Chapisha Maoni