Ijumaa, Mei 02, 2014

MAKAMU WA RAIS AWASHA MWENGE, MBIO ZIMEANZA RASMI

Mbio za Mwenge wa Uhuru zimeanza rasmi leo mara baada ya kuwashwa na makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal katika uwanja wa Kaitaba uliopo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.

0 comments:

Chapisha Maoni