Jeshi la polisi mkoani Iringa linamtafuta mtu mmoja baada ya kutenda kosa la ubakaji.
Taarifa ilitolewa na kamanda wa Jeshi la polisi mkoani mkoani Iringa Ramadhani Mungi,imesema kuwa jeshi la polisi linamtafuta Logatusi Malagata kwa kosa la ubaka alilotenda may 8 mwaka huu. Mtuhumiwa alitenda kosa hilo la kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 27,huko maeneo ya Ilangi kijiji cha Ipamba,kata ya Kalenga wilaya Iringa vijijini.
Kamanda Mungi imetaja chanzo cha tukio hilo lililo msababishi mwanamke huyo maumivu makali mwili mwake kuwa ni taama ya mapenzi ya mtuhumiwa.
Hata hivyo kamanda amesema kuwa ni vyema watu au wanawake wakatembea kwa makundi nyakati za usiku au katika maeneo ya kuokota kuni,huku akiwata waalifu kuacha mara moja tabia hiyo kwani jeshi la polisi lipo kwa ajiri ya kusimamia sheria na kuhakikisha waalifu wote wanatiwa katika mikono ya dora.

0 comments:
Chapisha Maoni