Nimenukuu kama ilivyoandikwa katika ukurasa wao wa facebook: "Tumeiona filamu ambayo inaonekana kuwa maarufu sana nchini Tanzania inaitwa 'DEVILS KINGDOM' (Ni ile ya marehemu Kanumba akiwa na Ramsey Noorah wa nigeria). Hii filamu haihusiki katika lolote na imani ya
Freemasonry. Ni filamu ya kufikirika tu, ni filamu ya bei rahisi sana katika utengenezaji...lengo lilikuwa ni kutengeneza filamu ya kutisha tu na si vinginevyo maalumu kwa wapenzi wa filamu za kutisha barani Afrika.Kama unadhani kwamba Freemasonryinahusika na matendo yaliyoonekana katika filamu hiyo sahau! Hayo matendo hayatokei katika jumba la Masonic.
FREEMASONRY HAIKUPI PESA.
FREEMASONRY HAIKUFANYI KUWA MAARUFU."
FREEMASONRY HAIKUFANYI KUWA MAARUFU."
IT PROVIDES FOR HUMANITARIAN RELIEF, TO LIFEBOATS, AIR AMBULANCES AND HOSPITALS.
YOU HAVE TO PAY ANNUAL LODGE FEES WHICH ARE USED FOR THE UPKEEP OF THE LODGE BUILDING.
I’LL SAY IT AGAIN (IN CASE YOU MISSED IT FIRST TIME AROUND) FREEMASONRY WILL NOT MAKE YOU FAMOUS OR RICH, OR A HIP HOP STAR.
IT WILL NOT PAY FOR YOUR EDUCATION. IF YOU ARE THINKING THIS, PLEASE MOVE ALONG. FREEMASONRY IS NOT FOR YOU.
0 comments:
Chapisha Maoni