Ijumaa, Mei 09, 2014

EXCLUSSIVE!!! BABY MADAHA NA MANAGER JOE WAKE KUFUNGA NDOA NOVEMBER

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.
Meneja wa Baby Madaha, Joe alithitisha mipango hiyo na akasema sasa wanafanya kazi nyingi za muziki mpaka zifike nyimbo 20 ambapo baada ya kuoana zitaanza kutoka mojamoja kwa muda wa miaka minne.
Ni kweli tumepanga kuoana, kikubwa ninaandaa nyimbo nyingi ili baada ya ndoa nitasimama muziki na badala yake nitakuwa naachia nyimbo tu
alisema Baby anayetamba na Wimbo wa Nawaponda.

0 comments:

Chapisha Maoni