Jumanne, Mei 27, 2014

BONGO MOVIE WAJADILI MSIBA WA RECHO LEADERS CLUB...MSIBA KUPELEKWA NA KUZIKWA SONGEA

MASTAA wa Bongo Muvi wamemlilia msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyefariki jana saa mbili usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki.
Kwa mujibu  wa mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve ‘Nyerere’, mwili wa Rachel utasafirishwa kwenda kwao Songea kwa ajili ya maziko.  Habari nyingine za msiba zitatolewa wakati wowote na mtandao huu mara tu zinapopatikana.

0 comments:

Chapisha Maoni