Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na diamond the platnumz, ni jana
tu tuliona diamond the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia picha
ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake akaona isiwe
shida, na yeye huko alipo dubai akaamua kufanya yake kwa kufanya mapenzi
na mpenzi wake, na baada ya hapo akaamua kufotoa picha huku
wakinyonyana ndimi na kuficha sura ya mwanaume wake.
0 comments:
Chapisha Maoni