Alhamisi, Mei 15, 2014

ALIYEVUJISHA VIDEO JAY Z AKIDUNDWA NA SHEMEJIYE SOLANGE ATIMULIWA KAZI, VIDEO HIYO ILIMLIPA MILIONI 412 ZA KITANZANIA

JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi.
Hoteli ya New York Standard  imeamua kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama hilo.
Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250,000 sawa na shilingi 412,500,000 za Tanzania.

0 comments:

Chapisha Maoni