Kiungo wa Manchester City Yaya Toure anafunguka na kudai kwamba hapewi heshima anayostahili kwa kua tu anatokea Afrika.
Si yeye tu hata mchezaji mwenza Samir Nasri alisema kwamba kitu
kinachomkwamisha kiungo huyo mwenye miaka 30 ni bara alilozaliwa(Afrika)
lakini kinyume chake angekua anatajwa kama mmoja kati ya viungo bora
kabisa kwa sasa duniani.
Una maoni
gani kuhusu hili unadhani sifa anazopewa Iniesta na Xavi ama Pirlo,
Gerrard, Lampard, ni kwa kua wana uwezo zaidi ya Yaya Toure ama ni kwa
sababu wametoka bara tofauti na Afrika.
0 comments:
Chapisha Maoni