Ijumaa, Aprili 11, 2014

RIYAMA ALLY ADAI KUWA HAISHI KIMAIGIZO!!!

MWIGIZAJI mwenye taito ya kujiheshimu, Riyama Ally, amefunguka kuwa kinachomfanya aishi vizuri na watu ni kwa sababu haishi maisha ya kuigiza.
Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na  ndiyo maana unaona naishi maisha ya kawaida, siigizi hata kidogo, ukiigiza tu, unaumia.”

0 comments:

Chapisha Maoni