Kwa takribani wiki mbili sasa mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania zimekuwa zikileta maafa makubwa sana lakini kwa Mkoa wa Dar es Sa laam imekuwa ni zaidi kwani sasa Daraja la Boko lililopo Barabara ya Bagamoyo limebomoka na kufunga mawasiliano!
0 comments:
Chapisha Maoni