STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema vipo
vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la
mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.
“Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho
ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki
Diamond.
0 comments:
Chapisha Maoni