Mke wa muigizaji maarufu, Will Smith ambaye aliwahi kushiriki katika kampeni maalum ya kupinga tabia za kuuza mwili mwaka 2012 amepost picha ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha akiwa mtu.
Jada Pink ambaye pia ni muigizaji mwenye mafanikio makubwa amepost picha ‘black ana white’ inayomuonesha akiwa amelala kitandani na kuandika ujumbe unahamasisha watu kutunza miili yao.
“The human body is beauty, art, creativity, expression, a vessel for the soul, our temple and a magnificent machine. We gotta take care of it. Love on your body today. It’s thee only body you got;”
0 comments:
Chapisha Maoni