Ijumaa, Aprili 18, 2014

BREAKING NEWS: MELI IMEZAMA KATIKA ZIWA VICTORIA HIVI PUNDE

Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.

0 comments:

Chapisha Maoni