Kutokana na picha ya Mwanamuziki wa kizazi kipya na mcheza filamu Hemed Suleiman 'PHD' ambayo binafsi aliipost katika mtandao wa kijamii wa instagram jana inayomuonesha Hemed akiwa amevaa ushungi, kapiga lip stick mdomoni imezua utata kwa watu wenga hasa mashabiki wake kuwa je, Hemed ni shoga????
0 comments:
Chapisha Maoni