Alhamisi, Aprili 24, 2014

LUPITA NYONG'O AMETAJWA KUWA NDIYE MTU MZURI ZAIDI DUNIANI

Kama ni bahati basi hii ni ya mtende, na kama huna bahati huna tu, huu lazima utakuwa mwaka wa kukumbukwa milele kwa Lupita Nyo'ngo anakula shavu sana mwaka huu, jarida la People Magazine la Marekani limemtaja Mkenya wa kwanza kushinda tuzo za Oscar, LUPITA NYO'NGO kuwa ndiye mtu mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2014.

0 comments:

Chapisha Maoni