Alhamisi, Aprili 24, 2014

MAFURIKO YAITESA WILAYA YA KYELA, MBEYA

Mafuriko makubwa yanayoendelea katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya yamefunga barabara kuu ya Kikusya matema na ile ya kwenda bandari ya Itunge na Kiwira katika ziwa Nyasa na kusababisha shughuli za usafishaji kukwama na kuathiri upatikanaji wa huduma za misngi za wananchi na kiuchumi.

0 comments:

Chapisha Maoni