Alhamisi, Aprili 24, 2014

ANTI LULU APEWA MKONG'ONTO MZITO NA MPENZI WAKE

Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo walimsikia msanii huyo akipiga mayowe na walipotoka walimuona akipigwa.

“Kwa kweli alipigwa sana na sasa amevimba uso,” 
alidai mmoja wa majirani aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Paparazi wetu alimtafuta Aunty Lulu lakini hawakuweza kuonana naye kwani aligoma akidai kwa hali aliyonayo hawezi kuonana na waandishi ila akasema:
“Ni kweli Amani kanipiga, kaniumiza ila siwezi kuliongelea sana suala hilo, haya ni mambo yetu binafsi.”

0 comments:

Chapisha Maoni