Mpambano huo usio rasmi ulichukuwa nafasi wiki iliyopita katika
Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na shoo maarufu
kwa jina la Bunyerobunyero.
Flora alipoulizwa na mwanahabari wetu juu ya ufundi huo wa kucheza
Kibao Kata kilichokuwa kikipigwa na kuwazidi mastaa kama Kajala Masanja,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Halima Haroun ‘Kimwana’, hakuwa tayari
kujibu zaidi ya kuendelea kukatika.
0 comments:
Chapisha Maoni