"Nina
masikitiko makubwa kuwaarifu kuwa Leo Saa sita za Usiku Askari wa
Manispaa ya Ilala wamevunja Makaburi ya Masheikh Wetu, la Marhum Sheikh
Kassim Bin Juma na Marhum Sheikh Yahya Hussein ambayo mnayaona hapo hivi
ni sawa ???????? kutufanyia hivi naomba mchango wenu"
0 comments:
Chapisha Maoni