Leo ni siku kuu ya Pasaka, na wakristo wote duniani wanaungana ili kusherehekea siku ya kufufuka kwa mwana wa Mungu Yesu Kristo, nasi team Fichuo Tz twaungana nawe katika kusherehekea siku kuu hii...Tunakutakia heri ya sikukuu ya PASAKA, tusherehekee kwa furaha na amani na tudumishe upendo!!!
0 comments:
Chapisha Maoni