Kutana na sentensi chache zinazomuhusu mmoja kati ya Marais wenye umri mkubwa barani Afrika, Robert Mugabe wa Zimbabwe anayesifika kwa misimamo yake na sasa ametishia kuwafukuza kwenye nchi yake Wanadiplomasia wanaopigia debe mapenzi ya jinsia moja.
Kwenye hotuba yake ya sherehe za kuadhimisha uhuru wa nchi hiyo Mugabe aliwakaripia kwa hiyo tabia anayoiita upuuzi wa nchi za ulaya zinazohubiri ushoga na kutuhumu nchi hizo kwa kukosa maadili na kwamba ndoa inaweza kuitwa ndoa iwapo ni ya Mwanamke na Mwanamume.
Unaambiwa hii sio mara ya kwanza anakemea ushoga kwa sababu kwenye siku za nyuma aliwahi kuwataja mashoga kuwa wabaya kuliko Mbwa na Nguruwe ndio maana vitendo hivyo hairuhisiwi kwenye nchi hiyo ambayo mashoga hukamatwa mara kwa mara.

0 comments:
Chapisha Maoni