Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa anakiona kifo chake
hivyo anawaomba msamaha aliowakosea na kuwasamehe waliomkosea.
Shamsa alisema ameamua kujisafishia njia kwani yeye ni
binadamu na umauti unaweza kumkuta muda wowote hata kama akiwa mzima.
“Ninaomba msamaha kwa niliowakosea kwani mimi ni binadamu muda wowote nitakufa hivyo lazima nijiandae kwa ajili ya maisha ya huko
tunakoelekea,” alisema Shamsa.
0 comments:
Chapisha Maoni