Jumatatu, Machi 10, 2014

KIZAAZAA CHA BODA BODA DAR ES SALAAM

Matumizi mabaya ya pikipiki maarufu kama bodaboda kwa kutofuata sheria za usalama wa barabara na kupakia hadi abiria wanne katika pikipiki moja huku wengine wakendesha bila ya leseni pamoja na kofia ngumu vimeendelea Kujitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam hivyo kikosi cha usalama barabarani kimetakiwa kubuni mbinu mpya ili kuthibiti vitendo hivyo.

0 comments:

Chapisha Maoni