Taasisi ya utawala bora na maendeleo Tanzania imemtaka Rais Jakaya Kikwete avunje bunge maalum la katiba ili kulinda heshima ya nchi kwani vurugu na mitafaruku inayotokea inasababishwa na baadhi ya wajumbe kutokujua kilichowapeleka Dodoma na wanalitia aibu taifa.




0 comments:
Chapisha Maoni