Jumatatu, Machi 10, 2014

BADO NAKULETEA HABARI KUHUSIANA NA MATUKIO YA AJABU JUU YA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA ANGANI, KUMBE TUKIO ZIMA LILITABIRIWA NA TB JOSHUA! SOMA HABARI NA TAZAMA VIDEO HAPA



Kwa mara nyingine tena unabii wa mtume maarufu barani Afrika T.B Joshua msimamizi na mwanzilishi wa kanisa kubwa la Scoan la nchini Nigeria alitabiri tukio lililotokea Ijumaa wiki iliyopita la kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia ikiwa na watu zaidi ya 200. 
Ambapo kwa upande wake T.B Joshua alitabiri tukio hili kwamba lingetoa katika unabii wake alioutoa mwezi wa saba mwaka jana kwakusema kwamba kutatokea janga kubwa la ndege yenye abiria zaidi ya 200 inayomilikiwa na moja ya mataifa ya bara la Asia tukio ambalo limetokea na mpaka sasa ndege hiyo haijaonekana.
Maelezo juu ya unabii huo angalia video ifuatayo.

0 comments:

Chapisha Maoni